Cantitate/Preț
Produs

Penzi la Damu

Autor Anna Samwel Manyanza
Paperback – 22 sep 2022
Mstahamilivu hula mbivu, mtaka cha uvunguni sharti ainame, na mchumia juani hulia kivulini. Ni machache ya maadili yamuongozayo binti Malaika katika safari yake ya kutimiza ndoto zake. Kujiendeleza kielimu ndiyo ndoto yake kuu. Kwa vile Mungu hamtupi mja wake, anabahatika kwenda ughaibuni kitaaluma. Ni safari inayomtenganisha na mpenzi wake, Ben. Lakini Ben anaahidi kumsubiri hadi afuzu masomo yake. Katika kipindi hiki cha utengano, dunia inawapangia mambo mengine kabisa, ni utengano unaotishia kulisumu penzi lao. Majaribu hayeshi, vishawishi ni vingi. Penzi lao linayumba, linatishia kudumbukia kwenye dimbwi la damu. Lakini Malaika haliachii penzi lake kwa Ben, analipigania kishujaa. Ben pia anaingia vitani kulipigania penzi la Malaika. Je, watashinda vita hivi vya kimapenzi?
Citește tot Restrânge

Preț: 13421 lei

Puncte Express: 201

Carte tipărită la comandă

Livrare economică 10-24 august

Livrare prin curier în România Termenul estimat este afișat lângă disponibilitate.
Transport gratuit de la 40000 lei Plată online sau ramburs, în funcție de opțiunile comenzii.
Retur gratuit în 14 zile Comandă securizată și suport în română.

Specificații

ISBN-13: 9789987753680
ISBN-10: 998775368X
Pagini: 184
Dimensiuni: 152 x 229 x 12 mm
Greutate: 0.31 kg
Editura: Mkuki Na Nyota Publishers

Notă biografică

Anna Manyanza ni mwanafasihi wa riwaya na hekaya za watoto. Riwaya yake ya kwanza, 'Penzi La Damu', imeshinda Tuzo ya Kiswahili ya Mabati -Cornell ya Fasihi ya Afrika, mwaka 2015.