Cantitate/Preț
Produs

Nidhamu ya Ndoto: Ken Haych

Autor Ken Haych
Paperback – 10 iun 2026
Una ndoto kubwa? Swali ni hili... Je, una nidhamu ya kuitimiza? Watu wengi wana ndoto ya kua na maisha bora. Maisha yenye mafanikio zaidi. Pesa zaidi. Amani zaidi. Uhuru zaidi. Lakini ndoto pekee hazibadilishi maisha. Kinachobadilisha maisha ni nidhamu. Nidhamu ya Ndoto ni mwito wa uamsho kwa mtu yeyote ambaye amechoshwa na kuahirisha mambo, kupoteza muda, kuishi chini ya uwezo wake, au kutazama maisha yakisonga mbele huku ndoto zake zikibaki akilini tu. Kupitia mifano halisi, mafunzo ya vitendo, na ukweli usiojificha, kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya: ¿ Kuushinda uvivu na tabia ya kuahirisha mambo ¿ Kujenga tabia zinazozalisha mafanikio ¿ Kudhibiti muda na umakini wako ¿ Kuondokana na visingizio vinavyokurudisha nyuma Hiki si kitabu cha kukuburudisha. Ni kitabu cha kukusukuma kuchukua hatua. Kwa sababu maisha unayoyaota hayajajificha kwenye bahati. Yamejificha ndani ya kazi unayoendelea kuikwepa. Ndoto zako zina thamani. Sasa ni wakati wa kuwa mtu anayezistahili.
Citește tot Restrânge

Din seria Ken Haych

Preț: 13266 lei

Puncte Express: 199

Comandă specială

Livrare economică 29 septembrie-05 octombrie

Livrare prin curier în România Termenul estimat este afișat lângă disponibilitate.
Transport gratuit de la 40000 lei Plată online sau ramburs, în funcție de opțiunile comenzii.
Retur gratuit în 14 zile Comandă securizată și suport în română.

Specificații

ISBN-13: 9798235153301
Pagini: 236
Dimensiuni: 140 x 216 x 14 mm
Greutate: 0.34 kg
Editura: Moderni
Colecția Ken Haych
Seria Ken Haych